29.2 C
Dar es Salaam
Saturday, September 18, 2021

Waba Pro amvisha pete mchumba wake

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Mwimbaji nyota wa Injili kutoka Norway, Waba Pro, amefanikiwa kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi, Vivianne nchini Denmark hivi karibuni.

Waba Pro, ameliambia mtanzania.co.tz kuwa anamshukuru Mungu kwa kufikia hatua hiyo kubwa kwenye maisha yake kuelekea maisha ya ndoa.

“Nilitoka Norway nikaenda Denmark kwaajili ya kumvisha pete ya uchumba mpenzi wangu Vivianne, tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka mitatu sasa hivyo nimeona huu ndio wa kati sahihi wa kumchumbia rasmi,” amesema mwimbaji huyo anayetamba na wimbo Nasonga Mbele.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
156,718FollowersFollow
517,000SubscribersSubscribe

Latest Articles