22.6 C
Dar es Salaam
Tuesday, September 17, 2024

Contact us: [email protected]

Tanzania na Zambia zasaini mikataba nane ya ushirikiano

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Tanzania na Zambia zimesaini mikataba nane ya ushirikiano katika maeneo tofauti kufuatia ziara ya Kitaifa ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Zambia.

Mikataba hiyo ilifuatia mazungumzo ya ana kwa ana yaliyofanywa baina ya Rais Samia na mwenzake wa Zambia, Hakainde Hichilema kwenye Ikulu ya Zambia leo Oktoba 25, 2023.

Maeneo muhimu katika makubaliano hayo yanahusu masuala ya ushirikiano baina ya nchi hizo kwenye biashara na uwekezaji, gesi asilia, ulinzi na usalama, Sayansi, Teknolojia na Ubunifu.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles