Tamasha la Utamaduni wa Mzanzibari laendelea

Audience Awards Night at ZIFF 2016

TAMASHA la Utamaduni wa Mzanzibari lililoanza juzi huko Makunduchi visiwani hapa, linaendelea leo katika maeneo mbalimbali ya visiwa hivyo.

Tamasha hilo linajumuisha matukio mbalimbali ya utamaduni wa Mzanzibari ikiwemo kuchapana fimbo kuonyesha ngoma za asili na matukio mbalimbali ya kitamaduni.

Tamasha hilo hushangaza wahudhuriaji namna linavyofanyika maana kama mgeni utadhani watu wanagombana eneo lote la tamasha hugubikwa na kelele, vurugu za hapa na pale, mapigano lakini yote ni kufurahia utamaduni huo wa Mzanzibari.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here