22.5 C
Dar es Salaam
Sunday, July 21, 2024

Contact us: [email protected]

Sokabet kukuinua ukiwa Simba, Yanga

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Agosti 13, 2022 filimbi itapulizwa kuashiria ufunguzi wa Msimu mpya wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara 2022/2023 kwa kuzikutani Klabu za Simba na Yanga kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii kabla ya michezo ya ligi kuanza Agosti 17.

Kuelekea mchezo huo wa ngao ya jamii utakaopigwa katika dimba la Benjamini Mkapa Dar es Salaam, vilabu hivyo vya Simba na Yanga vinaendelea kufanya maandalizi yote muhimu kuhakikisha kwamba vikosi vyao vinaimarika.

Upande wa Simba wao wameweka kambi Kaskazini mwa Afrika katika mji wa Ismailia nchini Misri huku watani wao Yanga wakichagua kubaki hapahapa nchini kwenye kambi yao ya Avic Town iliyoko Kigamboni, Dar es Salaam.

Watani wa jadi hawa wanakutana uso kwa uso wakiwa katika muonekano mpya kuanzia vikosi hadi jezi, kwani tayari Yanga maarufu kama ‘Wananchi’ jioni ya Julai 28, 2022 wametambulisha uzi wao mpya watakaoutumia katika msimu huu unaokuja huku upande wa Wekundu wa Msimbazi Simba wao wakiwa bado hawajafanya hivyo.

Mchezo wa ngao ya jamii unatarajiwa kuwa na ushindani wa hali ya juu ndani na nje ya uwanja, hii ni kutokana na usajili uliofanywa na vilabu vyote viwili msimu huu yanga wanapeewa na jeuri na wachezaji kama, Azizi Ki, Benald Morrisson, Lomalisa Mutambala na Bigirimana waliosajiliwa msimu huu huku upande wa Simba wakivimba na Victor Akpan, Augustine Okrah, Moses Phiri, Mohamed Ouattara, Nassoro Kapama na Habibu Kyombo.

Gwaride la Yanga bado lipo mikononi mwa, Profesa Nasredine Nabi mwenye dhima ya kuendelezea pale alipoishia msimu uliopita, huku Zoran Maki akiwa na jukumu kubwa la kurudisha furaha iliyipotea msimu uliopita kwa wana-msimbazi.

Je ni timu ipi imesajili wachezaji wa viwango kuzidi nyingine? Kocha yupi anambinu chanya ndani ya uwanja na maswali mengine mengi yaliyomo vichwani mwa mashabiki yatakwenda kujibiwa Agosti 13 pale kwa Mkapa.

Jambo la kufurahisha zaidi ni kwamba upande wa, Sports Betting kupitia kampuni bora ya kubeti Tanzania ,Sokabet, unaweza kubeti live (mubashara mechi ikiwa inaendelea) au kabla ya mechi kuanza (pre-match) ili upige pesa huku ukipata burudani. 

Nikumegee siri, wapenzi wa soka wengi wanapenda kubeti kabla mechi haijaanza ili wapate uwanja mpana kabisa wa machaguo. 

Kwa mechi hii na nyinginezo unaweza kukuta machaguo zaidi ya 400; ni wewe tu uamue ubeti nini, kama vile “double chance”, handicaps, “over / under”, kadi na faulo (kwa pre-match pekee).

Na hata mechi ikishaanza kuchezwa unaweza kuendelea kubashiri live magoli ya kipindi cha kwanza au kipindi cha pili au nani atafunga n.k bila kusahau kuna Cashback Bonus endapo utachana mkeka wako.

Yote haya ni ndani ya Sokabet, the best online casino and sports betting company in Tanzania unakosaje sasa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles