29 C
Dar es Salaam
Wednesday, May 31, 2023

Contact us: [email protected]

Simorix The General aingia anga za Weusi

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Msanii nyota wa Muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Australia, Simorix The General, amerudi kivingine na wimbo Vaccine Remix aliowashirikisha kundi wa Weusi la nchini Tanzania.

Akizungumza na Mtanzania Digital mapema leo Agosti 4, 2022, Simorix The General, amesema huo ni mwendelezo wa mpango wake wa kuliteka soko la Bongo pia kuipisha lugha ya Kiswahili nchini Australia kupitia muziki.

“Muda wowote kutoka sasa video ya Vaccine Remix itakuwa hewani, nimefurahi kuona audio imepokewa vizuri na mashabiki kutoka kwenye mitandao yote ya kusikiliza na kupakua muziki, naamini hii ni hatua kubwa kwenye muziki wangu kufanya kazi na kundi bora la Hiphop Weusi,” amesema Simorix.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,212FollowersFollow
567,000SubscribersSubscribe

Latest Articles