Prodyuza wa Tom & Jerry afariki Dunia

0
566

Prague, Czech

MTAYARISHAJI wa katuni maarufu za Tom & Jerry, Eugene Deitch a.k.a Gene, amefariki Dunia hivi karibuni nyumbani kwake, Prague huko Jamhuri ya Czech.

Gene mwenye miaka 95, alifanikiwa kujishindia tuzo nyingi kubwa zikiwamo za Grammy kutokana na kutayarisha katuni za Tom & Jerry ambazo ni miongoni mwa vibonzo bora vya muda wote.

Mbali na Tom & Jerry, Gene alishiriki pia kutayarisha katuni zingine kama vile Munro, Tom Terrific, Nudrik na Popeye zitakazokumbukwa kwenye historia za vibonzo duniani.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here