26.9 C
Dar es Salaam
Tuesday, December 10, 2024

Contact us: [email protected]

Picha| TACAIDS yakutanisha wadau kujadili Jukwaa la Kidigitali la ONGEA

Mratibu wa Program za UKIMWI Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dk. Pendo Saro akielezea malengo ya Warsha ya Vijana ya kujadili na kutengeneza Jukwaa la Kidigitali la ONGEA. Kupitia Jukwaa hili Vijana watapata taarifa sahihi kuhusu Afya ya Uzazi, VVU na UKIMWI. Warsha hiyo imefanyika jijini Dodoma kwa siku mbili Novemba 4 na 5, mwaka huu ambapo vijana kutoka asasi mbalimbali wameshiriki.
Baadhi ya washiriki wakichangia Mada kwenye Warsha ya Vijana ya kujadili na kutengeneza jukwaa la Kidigitali la ONGEA. Kupitia Jukwaa hili Vijana watapata taarifa sahihi kuhusu Afya ya Uzazi, VVU na UKIMWI. Warsha hiyo imefanyika jijini Dodoma kwa siku mbili Novemba 4 na 5, mwaka huu ambapo vijana kutoka asasi mbalimbali wameshiriki.
Hamissa Selemani kutoka kitengo cha Ubunifu cha Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) akifundisha mada ya “Designing Process” kwa washiriki wa Warsha ya Vijana ya kujadili na kutengeneza jukwaa la Kidigitali la ONGEA. Kupitia Jukwaa hili Vijana watapata taarifa sahihi kuhusu Afya ya Uzazi, VVU na UKIMWI
Washiriki wa Warsha ya Vijana wakijadili kwenye makundi namna bora ya kukutengeneza jukwaa la Kidigitali la ONGEA. Kupitia Jukwaa hili Vijana watapata taarifa sahihi kuhusu Afya ya Uzazi, VVU na UKIMWI.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles