27.9 C
Dar es Salaam
Monday, February 26, 2024

Contact us: [email protected]

Odds Bomba za Meridianbet Wikiendi Hii.

Ni muendelezo wa Ligi mbalimbali ulimwenguni, EPL, LaLiga, Ligue 1, Serie A na Bundesliga zote zitatimua vumbi wikiendi hii, Usiwaze kuhusu Odds bomba na kubwa, ni Meridianbet pekee ndio Mabingwa wa Odds hapa Tanzania.

Jumamosi yenye mzuka itaanza kwa mechi kali ya EPL ni Manchester City ambao watakuwa ni wenyeji wa Fulham, wakiwa na rekodi nzuri ya kufunga na ushindi usio kuwa na mashaka, Meridianbet wamemwaga odds kubwa kwa Fulham akiwa na odds ya 16.66 kwa 1.13 ya City hapa ni ushindwe wewe tu.

Leeds United watakuwa macho na wakali zaidi pale watakapokutana na Bournemouth ambao kwa upande mwingine nao watakuwa makini zaidi kuhakikisha chama lao, halizamishwi kwenye dimba la Elland Road. Meridianbet wana odds kubwa, beti sasa.

Ni Jumapili nzuri kwa wapenda soka, mashabiki wa Chelsea na Arsenal wote wanatoka London, wataungana na timu zao zitakapokutana kwenye mchezo wa dabi ya London, ni Blues dhidi ya Gunners wenye msimu mzuri chini ya Mikel Arteta wakiwa ni vinara wa Ligi kwa sasa. Mechi hii ina odds kubwa haijawahi kutokea.

Wakati Aston Villa ya Unai Emery watawakaribisha Manchester United ambayo gari limewaka, wao wanasema Ligi ndio imeanza, huu mchezo utakuwa mtamu sana. Na Liverpool ya Klopp ambayo imekuwa ikisuasua kupata matokeo itakuwa ugenini dhidi ya Spurs.

Moto na moshi vitahamia uwanjani kule Serie A kwenye mechi ya kukata na shoka, Atalanta watakuwa wenyeji wa Napoli ambao msimu huu ni wa moto kweli kweli, usihofie jamvi lako kuchanika, meridianbet wana promosheni kubwa kwenye hilo. Beti na Mabingwa.

Ni AC Milan dhidi ya Spezia sio mechi ya kukosa, pia kuna mechi nyingine tamu kuitazama na hata ukiamua kuifuata na kuweka beti yako na meridianbet hutojutia pesa yako, ni Empoli na Sassuolo wana odds kubwa, lakini pia unaweza kucheza live kama ukijisajili na meridianbet.

Wakati kwenye Ligue 1 PSG yenye Neymar, Mbappe na Messi watakipiga na Lorient, huku Nantes watakuwa ugenini kucheza na Reims. Kuna bonge la mechi Marseille dhidi ya Lyon hapa ukizichanga odds zako vizuri unaondoka na kibunda kutoka kwa mabingwa meridianbet.

Akiwa katangaza kustaafu soka, Gerard Pique atacheza mechi yake ya mwisho kwenye dimba la Camp Nou dhidi ya Almeria, Pique ataaga kwa ushindi au ataaga kwa uchungu, jibu lako kaliweke meridianbet wana mzigo wako, beti hapa.

Getafe atakipiga na Cadiz wakati huo Osasuna atakuwa ugenini kukiwasha na Celta De Vigo, usiwasahau Real Valladolid watarudi uwanjani kutembeza boli na Elche, Real Sociedad watatunishiana misuli uwanjani na Valencia. Ili ucheke baadae hakikisha una beti na mabingwa wa odds bomba hapa Tanzania.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles