Wanafunzi wa Shule za Feza waliofanya vizuri katika matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne 2023 kwa ufaulu wa daraja kwanza wakishangilia baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo jijini Dar es Salaam.
Makamu Mkuu wa Shule za Feza anayeshughulikia taaluma, Shabani Mbonde akizungumza waandishi wa habari, Dar es Salaam leo Januari 26, 2024 kuhusu matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne kwa ufaulu wa daraja kwanza kwa wanafunzi 78 wa shule hiyo. Katikati ni Makamu Mkuu wa shule hiyo, Richard Mahina.Wanafunzi wa Shule za Feza waliofanya vizuri katika matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne 2023 kwa ufaulu wa daraja kwanza wakishangilia baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo jijini Dar es Salaam.