21.1 C
Dar es Salaam
Saturday, August 13, 2022

Picha| Ridhiwani ateta na Maafisa ardhi na kuwakumbusha kutimiza wajibu wao

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete akishiriki kikao kazi pamoja na Maafisa Ardhi wa Mkoa wa Iringa na Manispaa ya Iringa kwa lengo ya kuwakumbusha kutimiza wajibu katika utendaji kazi.

Hii ilikuwa ni mara baada ya kuhudhuria ya ufungaji wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makazi yaliyofanyika Chuo Cha Mkwawa.

“Baada ya ufungaji wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makazi yaliyofanyika Chuo Cha Mkwawa, Iringa nilipata nafasi kuzungumza na Maafisa Ardhi wa Mkoa wa Iringa na Manispaa ya Iringa. Lengo ni kujadili hali ya Kazi na kukumbushana Wajibu wa kila mmoja katika Utendaji,” amesema Kikwete.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
198,592FollowersFollow
550,000SubscribersSubscribe

Latest Articles