23.1 C
Dar es Salaam
Sunday, May 12, 2024

Contact us: [email protected]

Naibu Waziri Mkuu China awasili nchini

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo Januari 22,2024 ameongoza mapokezi ya Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Liu Guozhong ambaye yupo nchini kwa ziara ya siku tatu.

Akiwa nchini, Guozhong anatarajiwa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu wa Kassim Majaliwa.

Pia, atatembelea maeneo mbalimbali ikiwemo Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na eneo la makaburi ya wataalamu wa kichina waliofariki wakati wa ujenzi wa reli ya Tazara pamoja na Makumbusho ya Taifa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles