22.6 C
Dar es Salaam
Tuesday, September 17, 2024

Contact us: [email protected]

‘Mwanadamu ni Mwanadamu’ ya Mnyanduli yapokewa vyema

Christopher Msekena

OBADEAR Mnyanduli, mwimbaji wa Injili nchini anayefanya vizuri jijini Dodoma, ameweka wazi kuwa mapokezi ya wimbo wake Mwanadamu ni Mwanadamu umepokewa vyema kutokana na ujumbe wake.

Akizungumza na  MTANZANIA jana, Mnyanduli alisema wimbo huo umebeba jina la albamu yake mpya huku ujumbe aliouimba ndani ukiwa umebeba ushuhuda wa maisha yake wakati anaanza muziki.

“Mwanadani ni Mwanadamu umewagusa wengi ndiyo maana umepokewa vizuri, kiukweli wakati naanza hii huduma binadamu walikikatisha tamaa, wakanitengenezea vikwazo vingi ili nisifanikiwe lakini Mungu aliniwezesha nikafanikiwa hadi kufikia hapa,” alisema Mnyanduli.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles