23.2 C
Dar es Salaam
Thursday, August 11, 2022

Mwaka mbaya kwa Halima Mdee

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM

NI mwaka mbaya kwa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema). Hii ndiyo kauli unayoweza kuisema kwa mbunge huyu machachari ambaye mwaka huu kwake ulianza vibaya kwenye shughuli zake za kisiasa na unaelekea kufikia ukingoni vibaya pia.

Mdee ambaye huu ni muhula wake wa pili bungeni, mwaka huu kwake ulianza vibaya kwani mwanzoni tu wakati wa Bunge la Bajeti, Spika wa Bunge, Job Ndugai alimfungia kuhudhuria mikutano miwili adhabu ambayo ameimaliza wiki iliyopita.

Adhabu ya Ndugai ilitolewa Aprili 2 mwaka huu na Novemba 11 mwaka huu, ndipo Mdee alipoingia bungeni kwa mara ya kwanza ikiwa ni miezi saba tangu asimamishwe.

Siku tano baadaye, yaani Novemba 15, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, iliamuru Mdee pamoja na wenzake watatu wakamatwe kwa …

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya gazeti la MTANZANIA.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
198,411FollowersFollow
550,000SubscribersSubscribe

Latest Articles