30.2 C
Dar es Salaam
Sunday, March 26, 2023

Contact us: [email protected]

Meneja wa Sam wa Ukweli asaka vipaji

Christopher Msekena

AMRI The Business ambaye ni meneja anayeimamia kazi za marehemu Sam wa Ukweli, ameweka nia yake ya kusaka vijana wenye vipaji ili kuviendeleza na kutimiza ndoto za wasanii wachanga.

Akizungumza na MTANZANIA jana, alisema Amri alisema hivi karibuni atafungua studio kubwa yenye uwezo wa kurekodi audio zenye ubora wa hali ya juu hiyo angependa kuanza na wasanii wachanga.

“Natafuta wasanii wapya wanaoweza kuimba ili niweze kuanza nao ninapofungua studio yangu mpya pia kupitia kampeni yangu ya Mtaa kwa Mtaa, nitatoa ajira kwa vijana wa kusambaza nyimbo za wasanii mbalimbali wakubwa na wadogo mtaani, hivyo wenye vipaji wanaeza kuwasiliana na mimi 0772 300 300 ili tusaidiane kukuza sanaa,”alisema Amri.

- Advertisement -

Related Articles

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
211,195FollowersFollow
564,000SubscribersSubscribe

Latest Articles