26.9 C
Dar es Salaam
Monday, December 9, 2024

Contact us: [email protected]

Lesley atamburisha video ya Handei

London, Uingereza

Mwimbaji nyota wa Injili kutoka nchini Uingereza (United Kingdom), Lesley Madzorera, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuipokea video ya wimbo wake mpya, Handei.

Lesley mwenye asili ya Zimbabwe, amesema licha ya kuwa anaishi Uingereza ila ana mashabiki wengi Afrika hivyo wanaweza kubarikiwa na ujumbe uliopo kwenye wimbo huo.

“Namshukuru Mungu kwa kunipa kibali cha kuachia wimbo mpya Handei, nimeimba kwa lugha mbalimbali ili kila mtu aweze kupata ujumbe, video tayari ipo kwenye chaneli yangu ya YouTube na kwenye mitandao yote ya kusikiliza na kupakua muziki hivyo mtu yeyote anaweza kuisikiliza na kubarikiwa,” amesema Lesley.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles