25 C
Dar es Salaam
Wednesday, October 20, 2021

LEGEND AAMKA NA CORONA

STAA wa muziki Marekani, John Legend, amejiweka mstari wa mbele katika kuwahizimiza watu kupata chanjo ya Corona.

Legend anafanya hivyo kupitia mitandao ya kijamii ambapo ameposti picha na video ikimuonesha akipata chanjo aina ya Pfizer.

50 Cent akiwasha, amchokoza Ja Rule

WAKATI Jan Rule akiendelea kupitia hali ngumu ya kiuchumi, mpinzani wake mkubwa kwenye muziki wa Hip hop, 50 Cent, ameamua kumkejeli.

Kama ilikupita, Ja Rule na mkewe, Aisha, wanahenyeshwa na deni la kodi ya Serikali inayofikia Dola milioni tatu (zaidi ya Sh bil. 6 za Tanzania). Kama ambayo Cent anafahamika kwa kuwakera maadui zake, ameposti ujumbe unaosomeka

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
162,624FollowersFollow
522,000SubscribersSubscribe

Latest Articles