32.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, February 1, 2023

Contact us: [email protected]

Kylie Jenner amliza mama yake

LOS ANGELS, MAREKANIMWANAMITINDO bilionea nchini Marekani, Kylie Jenner, juzi alimliza mama yake Kris Jenner, baada ya kumnunulia gari aina ya Ferrari 488 kwa ajili ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Kris anatarajia kutimiza miaka 63, Jumatatu wiki ijayo, hivyo Kylie aliamua kuonesha jeuri ya fedha huku akitumia kiasi cha dola 250,000 ambazo ni zaidi ya Sh milioni 571 za Kitanzania kununua zawadi ya gari kwa mama yake.

Kwenye ukurasa wake wa Instagram, mrembo huyo aliandika: “Ferrari 488 ni kwa ajili ya mama yangu mrembo, siku zote alikuwa na ndoto ya kumiliki aina hiyo ya gari, hivyo ninaamini sasa ndoto zake zimekamilika,” aliandika.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
208,471FollowersFollow
561,000SubscribersSubscribe

Latest Articles