28.3 C
Dar es Salaam
Monday, July 22, 2024

Contact us: [email protected]

Kim Kardashian ahutubia mbele ya Trump

WASHINGTON DC, MAREKANI

NDOTO ya kuwa mwanasheria inakwenda kutimia kwa mwanamitindo Kim Kardashian mara baada ya kuanza kupewa mialiko ya kuhutumia kwenye mikutano na makongamano ya sheria.

Kim ambaye bado anasomea sheria, Alhamisi wiki hii, Rais Donald Trump, alimpa mwaliko katika Ikulu ya Marekani pamoja na vyombo vya habari kuzungumzia mambo mbalimbali ya sheria za Magereza nchini humo.

Katika hotuba yake, Kim alitangaza kuanza kushirikiana na kampuni moja ya usafiri nchini  Marekani kusaidia wafungwa kufika sehemu mbalimbali ambazo wanakwenda kufanya kazi bila kufanya bila malipo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles