31.8 C
Dar es Salaam
Thursday, December 12, 2024

Contact us: [email protected]

K-Lyn amkumbuka mumewe

KATIKA kuadhimisha kumbukizi ya kuzaliwa kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa kampuni za IPP, Dk Reginald Mengi, aliyefariki duniani Mei 2 mwaka huu huko Dubai, mke wake ambaye ni mjasiliamali na Miss Tanzania 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi ‘K-Lyn’, amemkumbuka.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter kwa mara ya kwanza K-Lyn Jumatano wiki hii alisema : “Leo tungekuwa tuna kusheherekea wewe, kama nikifumba macho yangu naweza kuona namna unavyo tabasamu pale tunapokuimbia heri ya kuzaliwa. Hakuna neno la kuelezea ni kiasi gani mimi na watoto tulivyokukumbuka, kuamka kila siku bila wewe. Heri ya kuzaliwa mpenzi wangu wa kweli, milele mioyoni mwetu.” 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles