24.1 C
Dar es Salaam
Friday, April 26, 2024

Contact us: [email protected]

Judo kukiwasha Dar

Sharifa Mmasi, Mtanzania Digital

Mashindano ya klabu bingwa ya mchezo wa judo nchini, yanatarajia kutimua vumbi Septemba 26-28 mwaka huu kwenye ukumbi wa Sabasaba jijini  Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Chama cha Judo Tanzania (JATA), Innocent Malya amesema lengo la mashindano hayo ni kusaka wachezaji watakaounda timu ya Taifa.

Amesema timu ya taifa  itayopatikana kupitia michuano hiyo, itaingia kambini moja kwa moja tayari kwa maandalizi ya kushiriki mashindano ya Afrika Mashariki yatakayo timua vumbi mwakani nchini Uganda.

Kuhusu klabu zilizothibitisha kushiriki mashindano hayo ya klabu bingwa, Malya ameweka wazi na kusema kuwa mwisho wa uthibitisho ni Septemba 25,2021 baada ya hapo watatangaza orodha ya time zitakazochuana.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles