Harmonize awapa neno wasanii chipukizi

0
352

 BEATRICE KAIZA 

STAA wa bongo fleva, Rajab Kahali ‘Harmonize’ amewaasa wasanii chipukizi kuto lewa umaarufu kwani kunaweza kuua vipaji vyao. 

Akizungumza na MTANZANIA jana, alisema kitu ambacho kinawafanya wasanii kushindwa kuendelea juu katika kazi zao ni kulewa umaarufu. 

“Kitu ambacho wasanii chipukizi wanatakiwa kuwa makini nacho ni kuto lewa umaarufu kwani unaua vipaji vyao, hivyo wanatakiwa kuwa makini,” alisema Harmonize. 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here