29.7 C
Dar es Salaam
Monday, October 2, 2023

Contact us: [email protected]

Hans Pluijm: Nimesajili wenye nidhamu Yanga

pluijmNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van der Pluijm, ameeleza licha ya kusajili wachezaji bora katika kikosi chake, lakini pia nyota wake hao wana nidhamu ya hali ya juu hali inayomfanya aone hakuna cha kuizuia
Yanga kutwaa ubingwa na kufanya vizuri michuano ya kimataifa.

Mholanzi huyo alisema ubora wa kikosi chake na nidhamu ndiyo sifa kubwa itakayoiwezesha timu hiyo kufanya vizuri.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Pluijm alisema anaamini ubora wa kikosi chake na nidhamu kwa wachezaji
vimechangiwa kwa kiasi kikubwa na maandalizi waliyofanya kuelekea kwenye msimu mpya wa ligi.

“Nadhani mmeona jinsi gani tumejiandaa kuelekea kwenye msimu mpya, kikosi changu ni bora na kina nidhamu hivyo ndivyo ninavyoweza kusema,” alisema

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,770FollowersFollow
575,000SubscribersSubscribe

Latest Articles