24.7 C
Dar es Salaam
Saturday, May 4, 2024

Contact us: [email protected]

GIGY MONEY AHOFIA NDOA

Na ESTHER GEORGE

MSANII wa Bongo fleva anayetamba na wimbo wa ‘Nampa Papa’, Gift Stanford ‘Gigy Money’, amesema anahofia maisha ya ndoa kutokana na wanawake wengi kupoteza uzuri na mvuto wakiwa ndani ya ndoa.

Akizungumza na MTANZANIA jana, msanii huyo, ambaye pia ni Video Queen, amesema anapenda kuolewa, lakini wasichana wengi ambao wameingia kwenye ndoa, wanaume zao wanashindwa kutunza uzuri wao na kuishia kupauka.

“Ndoa ni sifa na heshima kwa mwanamke, lakini wasichana wengi waliomo ndani ya hizo ndoa wamekuwa tofauti na walivyotarajia, kitu ambacho kinaniumiza sana na kuwaza kuwa kuna nini kwenye ndoa,” alisema Gig Money.

Gig Moneya aliwataka wasichana kujitengenezea maisha kwanza kabla ya kuingia kwenye ndoa, ili wasijekupata taabu baadaye.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles