29.4 C
Dar es Salaam
Sunday, October 13, 2024

Contact us: [email protected]

Dube ainyima raha Simba

Na Mwandishi Wetu, Mwanza

Prince Dube ndiye mchezaji anayewakosesha raha mashabiki wa Simba baada ya leo kuendeleza ubabe wake, akipachika bao mapema tu dakika ya 14 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Dakika za jioni kabisa Cloutus Chama ndipo akaisawazishia Simba na matokeo kuwa 1-1.

Kwa matokeo hayo yanaifanya Yanga kuendelea kuongoza Ligi hiyo ikiwa na pointi 37, ikifuatiwa na Azam alama 32, zikicheza mechi 14 kila mmoja na Simba ikiwa ya tatu na pointi 30 ikicheza michezo 13.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles