26.4 C
Dar es Salaam
Sunday, October 24, 2021

Baba yake Messi akutana na Barca

BABA mzazi wa Lionel Messi, Jorge, amekutana na Rais wa Barcelona, Joan Laporta, kuzungumzia mustakabali wa staa huyo.

Kilichozikutanisha pande mbili hizo ni kuona uwezekano wa Messi kuongeza mkataba, huku huu wa sasa ukitarajiwa kuisha mwishoni mwa msimu huu.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
162,979FollowersFollow
522,000SubscribersSubscribe

Latest Articles