HomeHabari Kuu Habari KuuKitaifa Waziri Masauni atembelewa na Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Saudi Arabia By Mtanzania Digital September 8, 2022 0 1300 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akizungumza na Mkuu wa Idara ya Uhamiaji wa Saudia Arabia, Suleiman AlYahya kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Saudi Arabia, katika Kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Septemba 8, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Uhamiaji wa Saudia Arabia, Suleiman AlYahya alipokuwa akizungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Saudi Arabia, katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Septemba 8, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Uhamiaji wa Saudia Arabia, Suleiman AlYahya baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Saudi Arabia, katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Septemba 8, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akizungumza jambo na Mkuu wa Idara ya Uhamiaji wa Saudia Arabia, Suleiman AlYahya wakati alipokuwa akimsindikiza baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Saudi Arabia, katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Septemba 8, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleRaia wa Uganda akamatwa na mihuri feki ya TRA na Taasisi nyingine za SerikaliNext articleKoffi kutikisa Bongo na Royal Tour Septemba 10 Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz/ Related Articles Afya na Jamii 200 wapimwa afya na GGML katika maonesho ya OSHA Afya na Jamii TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu wa GGML Kanda ya Ziwa Kuwathamini Mabalozi ni kukirudisha Chama kwa wananchi-Shemsa LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow586,000SubscribersSubscribe Latest Articles Afya na Jamii 200 wapimwa afya na GGML katika maonesho ya OSHA Afya na Jamii TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu wa GGML Kanda ya Ziwa Kuwathamini Mabalozi ni kukirudisha Chama kwa wananchi-Shemsa Habari Kuu MEI MOSI 2024; Kikokotoo kufanyiwa uchambuzi, nyongeza mishahara kutangazwa karibuni Biashara na Uchumi Makonda aisisitiza GGML kuhakikisha CSR inabadilisha maisha ya wana-Geita Load more