28.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, October 4, 2022

Waziri Masauni atembelewa na Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Saudi Arabia

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akizungumza na Mkuu wa Idara ya Uhamiaji wa Saudia Arabia, Suleiman AlYahya kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Saudi Arabia, katika Kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Septemba 8, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Uhamiaji wa Saudia Arabia, Suleiman AlYahya alipokuwa akizungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Saudi Arabia, katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Septemba 8, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Uhamiaji wa Saudia Arabia, Suleiman AlYahya baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Saudi Arabia, katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Septemba 8, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akizungumza jambo na Mkuu wa Idara ya Uhamiaji wa Saudia Arabia, Suleiman AlYahya wakati alipokuwa akimsindikiza baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Saudi Arabia, katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Septemba 8, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,691FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles