HomeKitaifa Kitaifa Picha| Balozi Mulamula apokea zawadi ya picha kutoka Serikali ya China By Mtanzania Digital June 28, 2022 0 956 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Ahmed Salim mtoto wa Dkt. Salim Ahmed Salim ambaye alikabidhiwa na Serikali ya China ikiwa ni ishara ya kuutambua mchango wa Dk. Salim ulioiwezesha China kurejesha kiti cha Kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mwaka 1971. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (kushoto) akizungumza na Ahmed Salim (katikati) mtoto wa Dk. Salim Ahmed Salim ambaye alifika katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam kumkabidhi zawadi ya picha iliyotolewa na Serikali ya China ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wa Dk. Salim ulioiwezesha China kurejesha kiti cha Kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mwaka 1971. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleMakala| Wazazi simameni kwenye nafasi zenu kudhibiti mienendo mibovu ya watotoNext articleKasi ya ukusanyaji mapato Magu yamkuna Mhandisi Gabriel Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz/ Related Articles Afya na Jamii Kaya 413 zazingirwa na maji Lamadi mkoani Simiyu Uncategorized GGML, OSHA yawanoa bodaboda 200 Arusha, Ndejembi awafunda Afya na Jamii Wakunga watakiwa kuzingatia weledi kwenye utoaji wa huduma LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow587,000SubscribersSubscribe Latest Articles Afya na Jamii Kaya 413 zazingirwa na maji Lamadi mkoani Simiyu Uncategorized GGML, OSHA yawanoa bodaboda 200 Arusha, Ndejembi awafunda Afya na Jamii Wakunga watakiwa kuzingatia weledi kwenye utoaji wa huduma Burudani Idris Sultan anogesha Msimu wa Tatu wa Bridgerton Afya na Jamii Waziri Mhagama awataka wazazi, walezi kusimamia maadili kwa watoto Load more