RAILA ODINGA ATANGAZA KUJIONDOA KWENYE UCHAGUZI MKUU KENYA

0
1

Raila Odinga ambaye ni Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya, ametangaza kuwa hatashiriki kwenye uchaguzi mkuu ambao umepangwa kufanyika tarehe 26 mwezi huu.

Odinga amesema kuwa anataka uchaguzi mpya ufanyike jinsi ilivyoamuliwa na mahakama ya juu.

Uchaguzi huo wa tarehe 26 utakuwa ni marudio ya uchaguzi mkuu, baada ya mahakama ya juu nchini Kenya kufuta matokeo ya uchaguzi wa tarehe 8 mwezi Agosti mwaka huu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here