JAFO AONYA BARABARA ZENYE MASHIMO TEMEKE

NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Seleman Jafo, amewatahadharisha watendaji wa Manispaa ya Temeke kuhakikisha wanasimamia miradi ya ujenzi wa barabara na kusisitiza kwamba, hatarajii kuona barabara zenye mashimo. Jafo alitoa kauli hiyo alipokuwa akikabidhi jengo lenye maabara More...

by Mtanzania Digital | Published 2 days ago
By Mtanzania Digital On Saturday, November 18th, 2017
Maoni 0

MBOWE AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUKEMEA UOVU

NA RAYMOND MINJA -IRINGA MWENYEKITI wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, amesema hawatakubali kuona Rais John Magufuli akizuia uhuru wa demokrasia kwa kuzuia vyama vya siasa kufanya mikutano ya kisiasa kwa sababu hana More...

By Mtanzania Digital On Thursday, November 9th, 2017
Maoni 0

WANANCHI WALILIA SHULE YA CHEKECHEA

Na LILIAN JUSTICE-MOROGORO WAKAZI wa Kitogoji cha Misufini, Kata ya Bwakila Chini wilayani Morogoro, wanakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa shule ya awali. Kutokana na hali hiyo, wananchi hao wanalazimika kuwaanzisha More...

By Mtanzania Digital On Thursday, November 9th, 2017
Maoni 0

POLISI WAMKAMATA  MBUNGE MTWARA

Na FLORENCE SANAWA – MTWARA JESHI la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe (Chadema) kwa tuhuma za uchochezi. Awali mbunge huyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, November 8th, 2017
Maoni 0

DENI LA TAIFA LAPANDA

  Na ESTHER MBUSSI-DODOMA DENI la Taifa limezidi kupanda ambapo kwa sasa limefikia Dola za Marekani milioni 26,115.2 ( zaidi ya Sh trilioni 58) hadi kufikia Juni 2017,  sawa na ongezeko la asilimia 17.0, More...

By Mtanzania Digital On Saturday, November 4th, 2017
Maoni 0

TRA YAFUNGA KIWANDA CHA SARUJI KWA KUSHINDWA KULIPA KODI

Na HADIJA OMARY- LINDI MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Lindi, imekifunga  kiwanda cha saruji cha Kilwa  kinachomilikiwa  na Kampuni ya Lee Bulding Material Ltd, baada ya  kushindwa kulipa kodi. Meneja More...

By Mtanzania Digital On Thursday, November 2nd, 2017
Maoni 0

ZIWA RUKWA HATARINI KUKAUKA

  Na GURIAN ADOLF SUMBAWANGA WAKAZI wanaoishi kwenye Bonde la Ziwa Rukwa, wilayani Sumbawanga, mkoani Rukwa, wameshauriwa kuongeza kasi katika kuhifadhi mazingira ili kuliokoa ziwa hilo linalokabiliwa na hatari More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, November 1st, 2017
Maoni 0

UJENZI WA MELI MPYA ZIWA VICTORIA WAIVA

Na MWANDISHI WETU -MWANZA WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, amekagua eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa meli mpya na ya kisasa itakayotoa huduma za usafirishaji katika  Ziwa More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, November 1st, 2017
Maoni 0

WAZIRI: FIGO KUANZA KUPANDIKIZWA NCHINI

Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile, amesema Serikali imejipanga kuanza kutoa huduma za upandikizaji wa figo nchini. Kauli hiyo aliitoa More...

By Mtanzania Digital On Friday, October 27th, 2017
Maoni 0

WANAVIJIJI WATAKA WANASIASA KUTEKELEZA WALIYOYAAHIDI

Na ELIUD NGONDO – SONGWE WANANCHI wa Vijiji vya Ndalambo na Mengo, Kata ya Ndalambo wilayani Momba mkoani Songwe, wamewataka wanasiasa kutekeleza kile walichoahidi kwenye kampeni zao.   Wananchi hao More...

Translate »