EVERTON WAMKATA ROONEY MIL 900/-

LONDON, ENGLAND HATIMAYE uongozi wa klabu ya Everton ya nchini Uingereza, imetangaza kumkata mshahara wa wiki mbili mshambuliaji wake, Wayne Rooney kutokana na kosa la kuendesha gari akiwa amelewa. Kwa sasa Rooney ndani ya klabu hiyo anachukua kitita cha pauni 150,000 kwa wiki ambazo ni zaidi ya milioni 451, hivyo mishahara ya wiki mbili ni sawa na More...

by Mtanzania Digital | Published 19 hours ago
By Mtanzania Digital On Friday, September 22nd, 2017
Maoni 0

IDADI YA MASHABIKI EMIRATES YASHTUA

(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); LONDON, ENGLAND UWANJA wa soka wa klabu ya Arsenal, Emirates, umeweka historia mpya ya kuingia mashabiki wachache kwenye mchezo wao wa juzi dhidi ya Doncaster More...

By Mtanzania Digital On Friday, September 22nd, 2017
Maoni 0

LWANDAMINA AANZA MOJA YANGA

Na THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Yanga, George Lwandamina, ameamua kuanza moja kuzisuka safu zake tatu za kikosi chake, ili kuhakikisha zinatimiza malengo katika Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu. Yanga More...

By Mtanzania Digital On Friday, September 22nd, 2017
Maoni 0

MBAO YAIKATA PUMZI SIMBA

Na MASYENENE DAMIAN-MWANZA WEKUNDU wa Msimbazi, Simba wamepunguzwa kasi kwa mara nyingine katika harakati zao za kusaka taji la Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya jana kutoka sare ya mabao 2-2 na Mbao FC katika pambano More...

By Mtanzania Digital On Friday, September 22nd, 2017
Maoni 0

JAKE LAMOTTA AFARIKI DUNIA

NEW YORK, MAREKANI BINGWA wa zamani wa ngumi uzito wa kati duniani, Jake LaMotta, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95. Bondia huyo alikutwa na umauti nyumbani kwake nchini Marekani, baada ya kusumbuliwa na More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, September 19th, 2017
Maoni 0

MOURINHO AANZA KUMCHOKOZA GUARDIOLA

MANCHESTER, England NI kama kocha wa Manchester United, Jose Mourinho, ameanza kulewa kwa matokeo mazuri ya kikosi chake msimu huu baada ya kumtupia dongo hasimu wake wa siku nyingi, Pep Guardiola. Makocha hao More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, September 19th, 2017
Maoni 0

BAO LA BOCCO LAFUNIKA MABAO SITA YA OKWI

Na THERESIA GASPER -DAR ES SALAAM BENCHI la ufundi la klabu ya Simba, limeridhishwa na umahiri wa ufungaji uliotumiwa na mshambuliaji, John Bocco, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania dhidi ya Mwadui FC. Bao la mshambuliaji More...

By Mtanzania Digital On Saturday, September 16th, 2017
Maoni 0

TANZANIA QUEENS KUIVAA NIGERIA LEO

Na MOHAMED KASSARA -DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania ya wanawake chini ya umri wa miaka 20 ‘Tanzanite Queens’, leo inatarajia kushuka dimbani kuwakabili wenyeji wao, Nigeria, katika mchezo wa More...

By Mtanzania Digital On Saturday, September 16th, 2017
Maoni 0

POGBA AMCHEFUA MOURINHO

MANCHESTER, England IMERIPOTIWA kuwa kocha wa Manchester United, Jose Mourinho, amekasirishwa na kitendo cha Paul Pogba kuumia katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Basel ya Uswisi. Mourinho amemtupia More...

By Mtanzania Digital On Saturday, September 16th, 2017
Maoni 0

SHARAPOVA AMCHANA ‘LIVE’ MURRAY

LOS ANGELES, Marekani MWANADADA Maria Sharapova, amemjia juu staa mwenzake katika mchezo wa tenisi, Andy Murray, akimwambia afunge mdomo kwani haelewi chochote kuhusu tuhuma zake za utumizi wa dawa za kuongeza More...

Translate »