WATAALAMU WA NDEGE WANAOFANYA KAZI ‘NYUMA YA PAZIA’

Na Bestina Magutu UNAPOZUNGUMZIA waongoza ndege yaani “air traffic controllers picha inayokuja haraka miongoni mwa watu wengi, ni ile ya wahudumu wanaotoa ishara za kumsaidia rubani aweze kuegesha ndege vizuri na salama baada ya kutua yaani “marshallers. Hii ni kwa sababu ndio watu wanaoonekana kirahisi machoni mwa watu walio eneo la uwanja wa More...

by Mtanzania Digital | Published 4 days ago
By Mtanzania Digital On Thursday, July 20th, 2017
Maoni 0

VIFO VYA WAJAWAZITO, WATOTO VYAPAMBA MOTO DODOMA

Na Amina Omari, aliyekuwa Dodoma LICHA ya Serikali kutangaza mpango wa maendeleo ya afya ya msingi 2007 hadi 2017 ambao umelenga kupunguza vifo vya wajawazito 578 hadi kufikia 175 kwa kila kizazi hai 100,000 lakini More...

By Mtanzania Digital On Thursday, July 20th, 2017
Maoni 0

ASILIMIA 90 YA WAZAZI HUKOSEA KUKATA WATOTO KUCHA

Na HAMISA MAGANGA, UTAFITI unaonesha kuwa asilimia 90 ya kinamama wanaowakata kucha watoto wao kila baada ya siku kadhaa, hukosea na kuwakata pamoja na nyama za kucha. Wakati mwingine watoto wenye uelewa, hulalamikia More...

By Mtanzania Digital On Thursday, July 20th, 2017
Maoni 0

KASI YA WATANZANIA KUZALIANA YATISHIA MAENDELEO YA JAMII

Na VERONICA ROMWALD – DAR ES SALAAM HAIKUWA rahisi kwa Mariam Mussa, mkazi wa Temeke kumshawishi mumewe (jina tunalihifadhi) kuanza kutumia njia za uzazi wa mpango. “Nilikutana na mume wangu huko Tandika mwaka More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, July 19th, 2017
Maoni 0

ASILIMIA 33 WANAUME DAR WANA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

ASILIMIA 33 ya wanaume 672 mkoani Dar es Salaam wamebainika kuwa na upungufu wa nguvu za kiume. Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa wanaume 672 ambapo kila wanaume watatu mmoja aligundulika More...

By Mtanzania Digital On Sunday, July 16th, 2017
Maoni 0

MCHUNGE MTOTO NA MICHEZO YA HATARI

NA AZIZA MASOUD, MTOTO ana hatua mbalimbali katika makuzi yake. Anapoanza kutambaa  ama  kutembea anahitaji kukaa katika sehemu ama nyumba  yenye eneo kubwa,  ili aweze  kuwa na nafasi ya kufanya vitendo hivyo More...

By Mtanzania Digital On Sunday, July 9th, 2017
Maoni 0

DAWA ZA ASILI KUMI ZINAZOTIBU KIKOHOZI

KIKOHOZI ni ugonjwa unaowapata watu karibu wote, hali ya muwasho kooni pamoja na kuziba kwa baadhi ya sehemu za kupumulia puani, ubongo hutambua kuwa kuna hitilafu katika mwili. Kukohoa pia kunaweza kuwa ni matokeo More...

By Mtanzania Digital On Sunday, July 9th, 2017
Maoni 0

HAKIKI KATUNI KABLA YA MTOTO KUIANGALIA

NA AZIZA MASOUD, WATOTO wengi wamekuwa na utamaduni wa kuangalia katuni au vikaragosi kama inavyofahamika kwa nchi jirani. Huu ni utamaduni pendwa uliobarikiwa na wazazi wengi ambao wanawaruhusu watoto wao kuangalia More...

By Mtanzania Digital On Sunday, July 9th, 2017
Maoni 0

WATANZANIA MILIONI 3 WATUMIA UZAZI WA MPANGO

NA VERONICA ROMWALD – DAR ES SALAAM IDADI ya Watanzania wanaotumia njia za uzazi wa mpango imeongezeka kutoka watu milioni 2.1 mwaka 2010 hadi kufikia watu milioni 3.48 mwaka huu. Kauli hiyo ilitolewa Dar es More...

By Mtanzania Digital On Saturday, July 8th, 2017
Maoni 0

UNAISHIJE NA MWANAMKE MKOROFI KIASILI? – 2

NINA imani upo tayari kupata kitu kipya kama ilivyo kawaida ya ukurasa huu kila wiki hapa Swaggaz ya Mtanzania Jumamosi. Mada yetu ni kama inavyoonekana hapo juu, leo ikiwa ni sehemu ya mwisho. Tunajadili namna More...

Translate »