By france On Friday, May 13th, 2016
Maoni 0

Mzimu wa GPA waibuka bungeni  

Na Elizabeth Hombo, Dodoma SERIKALI imesema itaendelea kuvitambua vyeti vya wanafunzi waliomaliza na kupangiwa madaraja katika mfumo wa GPA licha ya kurudi katika mfumo wa divisheni kwa sasa. Kauli hiyo ilitolewa More...

By france On Friday, May 13th, 2016
Maoni 0

Bashe awasha moto bungeni

Na Bakari Kimwanga, Dodoma WABUNGE wameendelea kuchangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, huku Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akiitaka Serikali kutenga More...

By france On Friday, May 13th, 2016
Maoni 0

Polisi wageuza sukari dili

JONAS MUSHI NA TUNU NASSORO, DAR WAFANYABIASHARA   Dar es Salaam wamewalalamikia baadhi ya polisi kuwanyanyasa kwa kisingizio cha kutafuta sukari iliyofichwa. Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jana, More...

By france On Friday, May 13th, 2016
Maoni 0

Mbuzi wa tambiko aua watu watano wa familia moja  

NA WAANDISHI WETU VILIO, simanzi na hofu vimetanda kwa wakazi wa Kitongoji cha Lotii, Kijiji cha Mwitikira, Tarafa ya Olboloti, Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara baada ya watu watano wa familia moja kufariki dunia More...

By france On Friday, May 13th, 2016
Maoni 0

 JPM: Walioua familia wakamatwe haraka  

*Ataka wananchi wamwabudu Mungu maovu kama hayo yasitokee Anna Luhasha na Judith Nyange, Sengerema RAIS Dk. John Magufuli amesema amesikitishwa na mauaji ya kinyama ya watu saba wa familia moja waliokatwa mapanga More...

By france On Thursday, May 12th, 2016
Maoni 0

Etihad yazindua jumba la kupumzikia abiria

MELBOURNE, AUSTRALIA SHIRIKA la Ndege la Etihad juzi lilifungua rasmi jumba lao jipya la kifahari la kupumzikia wageni kwenye Uwanja wa Ndege wa Melbourne, nchini hapa. Jumba hilo lililo katika eneo lenye nuru ya More...

By france On Thursday, May 12th, 2016
Maoni 0

Tsvangirai: Fedha mpya si suluhu kiuchumi

HARARE, ZIMBABWE KIONGOZI wa chama cha upinzani nchini Zimbabwe, Movement for Democratic Change (MDC) kinachoongozwa na Morgan Tsvangirai, amesema kuanzishwa kwa fedha ya dhamana si suluhisho la tatizo la uchumi. Katika More...

By france On Thursday, May 12th, 2016
Maoni 0

Rais Buhari ahamaki kuitwa fisadi

ABUJA, NIGERIA RAIS wa Nigeria, Muhammadu Buhari, amesema amepigwa butwaa na matamshi ya kushtusha na ya aibu ya Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron aliyekaririwa akisema Nigeria na Afghanistan ni mataifa fisadi More...

By france On Thursday, May 12th, 2016
Maoni 0

Michezo ya jadi wakabidhi rasimu BMT

NA WINFRIDA NGONYANI, DAR ES SALAAM BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limepokea mapendekezo ya jina na rasimu ya kwanza ya katiba ya chombo kimoja kutoka katika Kamati Kuu iliyoagizwa kuunda na kusimamia michezo More...

By france On Thursday, May 12th, 2016
Maoni 0

‘Cannavaro’: Ushindi umetupa raha ya ubingwa

NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM NAHODHA wa timu ya soka ya Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, amesema ushindi wa mabao 2-0 waliopata juzi dhidi ya Mbeya City umedhihirisha rasmi kuwa wao ni mabingwa wa Ligi More...

Translate »