Waziri Maghembe kuifumua Bodi ya Ushauri ya Chuo cha Utalii

0
659
dsc_0026
Waziri Wa Maliasili Na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe

Waziri Wa Maliasili Na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, ameahidi kuibadili Bodi Ya Ushauri Ya Chuo Cha Utalii na kuifanya kuwa Bodi Ya Utawala.

Dhumuni la mabadiliko hayo ni kuhakikisha Chuo Cha Utalii Cha Taifa kinatoa wataalamu wenye sifa na viwango vya kimataifa.

Waziri Maghembe ametoa kauli hiyo leo alipotembelea chuo hicho na kuangalia namna ya kuboresha na kukifanya kiwe cha ushindani.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here