26.5 C
Dar es Salaam
Sunday, July 21, 2024

Contact us: [email protected]

Waba Pro alamba Ubalozi ‘Antonio & Co’

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

MWIMBAJI wa gospo nchini Norway, Waba Pro, amepata ubalozi wa kutangaza bidhaa za miwani wa jua kutoka kampuni kubwa ya Antonio & Co.

Akizungumza na Mtanzania Digital Waba Pro, amesema ubalozi huo umekuja sabab u ya upendo wake wa kutumia miwani yenye chapa ya Antonio & Co.

“Nimekuwa nikivaa miwani ya urembo na kuzuia jua ‘Sunglasses’ kutoka kwa Antonio & Co ndio maana wakavutiwa na mimi na sasa nafanya nao kazi kama balozi na kupitia mimi wateja wanaweza kupata miwani mbili kila mwezi,” amesema Waba Pro.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles