27.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, May 1, 2024

Contact us: [email protected]

Ubaruku, Mbarali wafurika kumlaki Dk. Nchimbi

Na Mwandishi Wetu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amepokelewa kwa shangwe na nderemo na wananchi wa Mbarali, wakiongozwa na vijana waendesha bodaboda, baada ya kuwasili na msafara wake katika Kata ya Ubaruku, Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, leo Aprili 18, 2024, akitokea Mbeya Mjini.

Dk Nchimbi alisimama kuwasalimia wananchi hao wa Ubaruku, akiwa njiani kuelekea Mkoani Njombe ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya mikoa sita ya Nyanda za Juu Kusini, ambapo ameambatana na Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Amos Makalla pamoja na Katibu wa NEC – Oganaizesheni,Issa Haji Gavu.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles