24.6 C
Dar es Salaam
Saturday, September 7, 2024

Contact us: [email protected]

Simba vs Al Ahly African Football League

N Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital

Timu ya Simba imepangwa kuanza na Al Ahly ya Misri katika michuano mipya ya CAF ‘ African Football League, ikianzia nyumbani Oktoba 20, 2023 kwenye dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Mchezo huo utakuwa ni wa ufunguzi kwa michuano hiyo inayoanza hatua ya robo fainali ikishirikisha timu bora nane za Afrika ambapo zitacheza kwa mtindo wa mtoano.

Timu nyingine ni TP Mazembe vs Esperance, Enyimba vs Wydad, Petro Atletico vs Mamelodi

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles