24 C
Dar es Salaam
Thursday, July 25, 2024

Contact us: [email protected]

Serikali yaingia mkataba wa ununuzi wa korosho na makampuni mapya

Arodia Peter, Dodoma

Serikali imeingia mikataba ya awali na makampuni sita ya kununua korosho.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Biashara  na Viwanda, Joseph Kakunda bungeni leo, Mei 16, ambapo amesema serikali imeendelea kusaini mikataba ya awali na makampuni ya ununuzi wa korosho.

“Korosho zetu bado zina ubora, zimefanyiwa ukaguzi kwenye maghala  wametuhakikishia kwamba hazijaharibika na bado zina ubora ule ule,” amesema Waziri Kakunda.

Hata hivyo Waziri huyo hakutaja majina ya kampuni hizo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles