24.2 C
Dar es Salaam
Sunday, April 28, 2024

Contact us: [email protected]

Samia kama ‘Star India’

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia nchini India imetamba katika vyombo vya habari kuanzia magazeti mpaka mitandaoni.

Rais Dk. Samia amemaliza ziara ya kitaifa ya siku nne nchini India ambayo imekuja siku chache baada ya taifa hilo kuandaa mkutano wa nchi tajiri duniani wa G20.

Ziara hiyo ilipata umaarufu kiasi kwamba jina lake likawa namba mbili miongoni mwa majina yaliyosomwa sana mtandaoni nchini India kwa mujibu wa mtandao wa Google.

Habari kubwa zilizoandikwa zaidi na magazeti zilizungumzia kuhusu mahusiano ya Kihistoria baina ya nchi hizo na pongezi za Afrika kwa India kutokana na kuipigania kuingia kuwa mwanachama wa G20 kupitia Umoja wa Afrika(AU).

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles