25.1 C
Dar es Salaam
Tuesday, December 10, 2024

Contact us: [email protected]

Rais Samia aitaja Reli ya TAZARA Bungeni

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Tanzania na Zambia zinajipanga kuhakikisha Reli ya Tazara inafanya kazi kwa uwezo wake wote na kuchochea uchumi wa nchi hizo mbili.

Akihutubia kwenye Bunge la Zambia leo jioni Oktoba 25, 2023 Rais Samia amesema kwa sasa reli hiyo inafanya kazi kwa asilimia nne tu ya uwezo wake jambo linalohitaji mabadiliko.

Reli ya Tazara ina uwezo wa kusafirisha kiasi cha tani za mizigo milioni tano (5,000,000) lakini kwa sasa kiasi cha tani laki moja na elfu themanini na nne (184,000) pekee ndizo zinazosafirishwa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles