27.4 C
Dar es Salaam
Monday, October 2, 2023

Contact us: [email protected]

Picha| Dk. Mwinyi aikabidhi NMB cheti cha shukurani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti cha Shukrani ya udhamini wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Afisa Mkuu wa wateja Binafsi na Biashara, Filbert Mponzi alipozindua mkutano huo wa siku tatu visiwani Zanzibar, NMB ilikuwa moja ya wadhamini. Kulia ni Waziri wa habari na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye na Kushoto ni Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri, Deodatus Balile.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,770FollowersFollow
575,000SubscribersSubscribe

Latest Articles