Owan Golden aiweka wazi ‘Addicted’

0
421

Brunswick, Canada

Msanii wa kikazi kipya mwenye makazi yake, New Brunswick Canada, Owan Golden, ameachia audio ya wimbo Addicted.

Akizungumzia wimbo huo, Owan amesema licha ya kuwa ni wimbo wake wa kwanza anashukuru kuona mapokezi ni mazuri na mashabiki wajiandae kupokea video muda wowote kutoka sasa.

“Addicted ni simulizi ya mapenzi kuhusu mwanaume na mwanawake ambao hawakuamini katika mapenzi ya kweli hadi wakati walipopata wapenzi wa kweli, wakapendwa mpaka wakawa ‘addicted’ kwenye mapenzi,” amesema Owan mwenye asili ya Burundi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here