Mkiwa ajitosa uenyekiti wa wanawake ACT Wazalendo

0
896
Mkiwa Kimwanga akikabidhiwa fomu na Ofisa wa Kamati ya Uchaguzi wa ACT, Risasi Semasaba.

Mwandishi wetu

Mwenyekiti wa Mkoa wa Mwanza, Mkiwa Kimwanga amechukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa kupitia cha Cha ACT Wazalendo.

Mkiwa amekabidhiwa fomu hiyo na Ofisa wa Kamati ya Uchaguzi wa ACT, Risasi Semasaba leo Jumatano Februari 12.


Mkiwa Kimwanga

Pazia la kuchukua na kurejesha fomu kwenye uchaguzi wa ACT Wazalendo unaotarajiwa kufanyika Machi 2020 na litafungwa Februari 26 mwakani.

Mkiwa anakuwa mwanamke wa tatu kuchukua fomu ya nafasi hiyo baada ya Janeth Rithe na Salma Mwasa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here