28.2 C
Dar es Salaam
Saturday, July 20, 2024

Contact us: [email protected]

Mgodi wa Barrick wakamilisha mradi wa kuhifadhi maji uchenjuaji dhahabu

Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara, Apolinary Lyambiko akielezea jambo kwa Waandishi wa habari waliotembelea mgodi huo uliopo Wilaya ya Tarime mkoani Mara juzi wakati wa kampuni hiyo ilipotangaza kufikia lengo lao la kukamilika kwa mradi wa kuhifadhi maji yatokanayo na uchenjuaji wa dhahabu pamoja na kusimika mitambo ya kisasa ya kusafisha maji kutoka lita milioni 2.5 ya zamani hadi lita milioni 40 kwa siku yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 65.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Matongo kilichopo Wilaya ya Tarime mkoani Mara Daudi Itembe, wakati wa ziara ya viongozi wa vijiji kutembelea mitambo ya kisasa ya kusafisha maji yanayotokana na uchenjuajji wa dhahabu ya Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara wakati wa kampuni hiyo ilipotangaza kufikia lengo la kukamilika kwa mradi huo na kusimika mitambo ya kisasa ya kusafisha maji hayo kutoka lita milioni 2.5 za zamani hadi lita milioni 40 kwa siku yenyethamani ya dola za kimarekani milioni 65.
Meneja Uchenjuaji wa mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara, Christopher Mwinuka akifafanua jambo kwa waandishi wa habari waliotembelea mgodi huo uliopo Wilaya ya Tarime mkoani Mara juzi wakati wa kampuni hiyo ilipotangaza kufikia lengo la kukamilika kwa mradi wa kuhifadhi maji yatokanayo na uchenjuaji wa dhahabu pamoja na kusimika mitambo ya kisasa ya kusafisha maji hayo kutoka lita milioni 2.5 za zamani hadi lita milioni 40 kwa siku yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 65.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles