26.6 C
Dar es Salaam
Tuesday, July 16, 2024

Contact us: [email protected]

Kayala kuibuka na kibao cha Amani Tanzania

GEORGE-KAYALA-2NA MWANDISHI WETU
MWIMBAJI wa nyimbo za injili, George Kayala yupo katika hatua za mwisho kukamilisha wimbo maalumu wa kuombea Amani ya Tanzania katika kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Kayala alisema kwamba, kampuni ya Freshas inayojihusisha na usambazaji wa filamu za Bongo ndiyo inasimamia zoezi zima la kurekodi wimbo huo.
“Ninakamilisha wimbo wangu wa kuombea amani ambao nimeupa jina la ‘Tuilinde Amani Yetu Tanzania,’’ alisema Kayala.
Naye Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Fredy Kaula, alisema walikubali kusimamia wimbo huo kutokana na kutambua hiki ni kipindi cha kuombea zaidi Amani ya Tanzania.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles