30.5 C
Dar es Salaam
Thursday, May 26, 2022

Joyce Aline, Walter Chilambo waachia ‘Hakuna kama wewe’

Oslo, Norway

MWIMBAJI anayefanya vyema nchini Norway, Joyce Aline, amewashukuru wapenzi wa muziki huo kwa mapokezi ya wimbo wake Hakuna Kama Wewe aliomshirikisha Walter Chilambo.

Akizungumza na Mtanzania Digital, Joyce amesema Mungu amempa ujumbe kupitia wimbo Hakuna Kama Wewe ndio maana ameona ni vyema akauachia mwanzoni mwa mwaka 2022.

“Namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kuachia wimbo huu wenye mguso wa kipekee, mapokezi yamekuwa makubwa sana hasa kwenye mtandao, video ipo kwenye chaneli yangu ya YouTube hivyo naomba mashabiki waendelee kuitazama na kubarikiwa na ujumbe,” amesema Joyce.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
192,358FollowersFollow
541,000SubscribersSubscribe

Latest Articles