25.2 C
Dar es Salaam
Sunday, December 1, 2024

Contact us: [email protected]

El-Classico kuchezwa wikiend hii!

Meridianbet Inakuletea Odds Kubwa Na Za Kijanja Kabisa Kukamilisha Wiki yako.

Timu kubwa kibao kukutana katika viwanja mbalimbali wikiendi hii.

Chagua Meridianbet na uweze kuwa mshindi wa kibingwa. Mchongo mzima upo hivi;

Kwenye Ligue 1 Ijumaa hii, Lille watakuwa wageni wa Metz. Hii ni nafasi nyingine kwa Lille kukaribia ubingwa.Meridianbet imekuandalia Odds ya 1.85 kwa Lille.

La Liga kutakuwa na EL Classico, Pale Estadio De Stefano Real Madrid watawaalika Barcelona, katika kutafuta usukani wa ligi hiyo. Meridianbet imekuwekea odds ya 2.40 kwa Barcelona.

EPL kuendelea Jumamosi hii. Kwenye Uwanja wa Anfield, Liverpool watakuwa wenyeji wa Aston Villa. Ukichagua Meridianbet, utakuta Odds ya 1.60 kwa Liverpool.

Jumamosi hii pia, katika Bundesliga, kutakuwa na mechi kati ya Bayern Munich na Union Berlin. Ukichagua na Meridianbet, utakuta Odds ya 1.42 kwa Bayern Munich.

Siku ya jumapili, katika ligi kuu Uingereza, Tottenham watawaalika Manchester United. Weka Utabiri wako, kwani Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.50 kwa Manchester United.

Kule Italia katika Serie A, Lazio watakuwa wageni wa Verona. Na ukichagua Meridianbet, utakuta Odds ya 2.15 kwa Lazio

Katika La Liga Siku ya Jumatatu, baada ya kuwafunga Atletico Madrid, Sevilla watakuwa ugenini kuwakabili Celta Vigo. Meridianbet kumekuwekea Odds ya 2.25 kwa Sevilla.

Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles