29.2 C
Dar es Salaam
Monday, October 18, 2021

‘ASILIMIA 80 YA BIASHARA NCHINI SI RASMI’

                                                                 |Derick Milton, BariadiMwenyekiti wa Bodi ya Mpango wa kuratibu na kurasimisha Biashara Tanzania (Mkurabita),  Balozi Ole Njoolay amesema asilimia 80 ya biashara nchini na asilimia 89 ya ardhi siyo rasmi.

Njoolay amesema hayo leo Alhamisi Julai 26, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Urasimishaji na Uendelezaji Biashara katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi, mkoani Simiyu.

Amesema ili nchi iweze kuwa na uchumi mzuri lazima angalau ifikie kiwango cha asilimia 25 ya kurasimisha biashara zake.

“Ili Tanzania iweze kukua kiuchumi lazima wafanyabishara wawe wanarasimisha biashara sanjari na ujenzi wa vituo vya urasimishaji nchini,” amesema.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
162,310FollowersFollow
522,000SubscribersSubscribe

Latest Articles