25.3 C
Dar es Salaam
Friday, May 3, 2024

Contact us: [email protected]

ALIYEMUITA RAIS MAGUFULI ‘KILAZA’ HATIANI

Mhasibu wa Shule ya Sekondari St Joseph, Elizabeth Asenga ametiwa hatiani kwa kosa la kumuita Rais John Magufuli kilaza.

Elizabeth ametiwa hatiani leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi baada ya upande wa jamhuri kuthibitisha kosa.

Mhasibu huyi anadaiwa kuandika “hakuna rais kilaza kama yeye duaniani” katika mtandao wa kijamii wa Whatsapp.

Hakimu Shaidi akitoa uamuzi wa mahakama, alimtaka mshtakiwa huyo kulipa faini ya Sh milioni tano au jela mwaka mmoja ambapo amelipa faini hiyo na kuachiwa huru.

- Advertisement -

Related Articles

1 COMMENT

  1. Je Mbona Maraisi wengi kuanzia Mkapa wamewatukan Watanzania mara nyingi. Je wametiwa lini hatiani? Na Raisi huyuhuyu Kawaita wengi viraza. Watu wanasema Chunga kauli ukiwa umepewa majukumu ya juu. Watu wanaiga unachokisema kwani ni lugha inayokubalika toka juu.
    Je? Ukipindua kibao hicho ndo unapelekwa hatiani?
    Si double standard hii.?

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles