Wataalamu waeleza ugonjwa wa kuvuja damu unavyotesa wanaume

0
1484
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Stella Rwezaura.

Na NORA DAMIAN

-DAR ES SALAAM

ASILIMIA 97 ya wagonjwa wa himofilia hawajui kama wanao ugonjwa huo na hawajawahi kupatiwa vipimo.

Himofilia ni ugonjwa unaosababishwa na ukosefu wa chembechembe za kutosha za protini zinazotakiwa kugandisha damu na zinapokosekana husababisha damu kuvuja kwa muda mrefu.

Akizungumza katika mahojiano maalumu na MTANZANIA jana, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Stella Rwezaura, alisema wagonjwa wanaoendelea kutibiwa katika hospitali hiyo ni 150.

Dk. Rwezaura alisema ugonjwa huo huwakumba zaidi wanaume na kwamba kati ya wagonjwa hao …

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya gazeti la MTANZANIA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here